New 'Kauli mbiu' : It is Soccer first and Not 'Kilimo Kwanza'; Brazil twaomba.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New 'Kauli mbiu' : It is Soccer first and Not 'Kilimo Kwanza'; Brazil twaomba....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shadow, Jun 3, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mpira Kwanza na Siyo Kilimo Kwanza:
  Footbal first and not 'Kilimo Kwanza'. Watanzania twapenda dhama hizi za 'kauli mbiu' . je wafikiri baada ya hii kauli mbiu (Impliedly it sound to be the case) , Kauli mbiu hipi itafuatia? Karibuni kina Dunga, Kaka, Robinho et al . Twaomba mtuchangia japo kidogo kwenye bajeti yetu manake 'tumefulia saaaana!' na kukopa huko benki kwa riba ya asilimia 18-25 itafanya tuwe muflisi. Tunaahidi hatutasafiri safari bila kibali chenu!
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ratiba, sasa tanzania gumzo ni Taifa Stars na Brazil, thereafter wold cup mpaka mid july halafu miss Tanzania, kipindi chote hiki watanzania watakuwa kama Pinokyo hata moto ukichoma miguu yao hawataungua, baada ya hapo uchaguzi sasa hapo kauli mbiu Ijayo itahusu uchaguzi, at least kujustify failure ya maisha bora kwa kila mtanzania. Like "tulikupa hukutumia, tupe tukupe"
   
Loading...