new iphone 4s nyingine

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Iphone 4s for sale laki 5 na nusu mpyaa na kila kitu na boksi lake kabsaaa
 
Asante kwa ushirikiano mkuu lakini haitalipa kwa bei hiyo
 
Unlocked or locked?

Hili nalo swali la msingi sana. Nyingi sana wanaziuza hapa unakuta ziko locked wanapeleka kwa mafundi wa kibongo wanatumia software zao za uongo na kweli ku unlock ukianza kutumia unajikuta huwezi kufanya updating wala kununua apps iStore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…