Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,626 Mar 21, 2024 #1 New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu Your browser is not able to display this video.
New Covid Variant A new Covid-19 variant is in circulation in the country. Doctors say the new variant called JN1 and and Swine Flu Your browser is not able to display this video.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,878 Reaction score 32,654 Mar 21, 2024 #2 Wajifungie tena kama walivyofanya wakati ulee😎😎
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,879 Reaction score 14,704 Mar 21, 2024 #3 Maokoto yameisha wamekuja na upuuzi mwingine
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Mar 21, 2024 #4 Mr mutuu said: Maokoto yameisha wamekuja na upuuzi mwingine Click to expand... 🤣🤣🤣
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,384 Mar 21, 2024 #5 Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha?
Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,300 Mar 22, 2024 #6 Duh aiseee
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,451 Mar 23, 2024 #7 Pole yao sana majirani... Cc: Mahondaw
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Mar 23, 2024 #8 Jasmoni Tegga said: Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha? Click to expand... Ruto na Samia ni wazuri sana kuhemea ughaibuni😁
Jasmoni Tegga said: Kwa nini tusiseme haya ndiyo matokeo ya ziara kibao za Dkt. Ruto ng'ambo? Je, wakoloni wamempa mbinu mpya za ^kujikwamua^ na aibu ya shutuma dhidi ya serikali yake kuhusu umaskini na hali mbaya kimaisha? Click to expand... Ruto na Samia ni wazuri sana kuhemea ughaibuni😁