Nchi imejaa uozo katika kila Idara -TANESCO na DAWASA ni entity za serikali ambazo zipo makaburini, tunachokiona ni mavufu (skeletons)!
BTW: Hata wakiweka mabomba ya 16" maji hakuna! Nguzo za umeme hata ziwe aluminium mgao unaendelea na haijulikani utaisha lini!! Sijui KUKU na YAI kipi kilianza?