Mkuu hayo magodoro sio ya kutumia kwa mda mrefu ni kwa kipindi kifupi kama mkisafiri falimia kubwa na vitanda sio vya kutosha mtu mnatumia au kama kuna mgeni nyumbani na vyumba havitoshi.
Hayako comfortable kama magodoro ya kawaida ,yanabonyea na utaamka mgongo unauma kila siku kama unampango wa kulitumia kwa mda mrefu.
Sio kwamba nakuaribia biashara nadhani ungerekebisha tangazo lako hili watu wajue watanunua nini usije ukafanya watu waende ku-replace magodoro yao kwa hilo godoro la kujaza upepo.