denial stage ndo ipi hiyo mkuu?
Wifi yangu KabaKabana, pole kwa mistreatment ya kaka yangu. Naomba radhi kwa niaba yake. Nakutakia kila la kheri, nakushauri take your time kuanguka penzini. Don't rush, jitahidi usimuwaze yeye tu (inaitwa obsession, ni kama ugonjwa sugu), waza na mengine. Mungu akutangulie kwa yote.
Wifi yangu KabaKabana, pole kwa mistreatment ya kaka yangu. Naomba radhi kwa niaba yake. Nakutakia kila la kheri, nakushauri take your time kuanguka penzini. Don't rush, jitahidi usimuwaze yeye tu (inaitwa obsession, ni kama ugonjwa sugu), waza na mengine. Mungu akutangulie kwa yote.
Mambo King? Apo juu si umeona nimempa Plan B? Ndio vile...
mmh hongera dada, kwa kufall again, all in all kuwa makin yan mapenzi haya duh ni pasua kichwa haswaaa.
nenda kwa step usijiachiee sana haya mambo hayaaminiki, jarib kuepuka mistake za mwanzon pia usikubali kuumizwa tana bora uumize aisee, muache akupende ila ww usijiruhusu kumpenda saana, wakijua wamependwa sana wana mapozi hao utajuuta.
kila la kherii.
Ni hiki alichokisema wifi yako hapa chini. Amekushauri utake time na mimi nimetumia denial stage kuwa ndio kwanza unaanza healing stage ambayo huchukua muda kidogo kwa mtu kuwa healed wounds za relationship iliyopita ili awe tayari na sawa kuipokea ijayo. Nilitumia denial stage kwa maana mara nyingi mpendwa akitendwa huwa kwanza anakuwa na tabia ya kujichukia na kuhisi yeye ndio mwenye kasoro otherwise asingeachwa! zile labda ningemfanyia haya, labda ningemchukulia hivi. Katika hali hii inapotokea interuption nyingine yaani mtu mwingine atakayeonyesha kukupenda na kukujali unaanza kujikataa tena kuwa hapana si wewe mwenye makosa na utafanya juu chini kumwonyesha yule wa zamani kuwa unapendeka bado na kuwa yeye alikuona hufai kumbe wapo wanaokuthamini na matokeo yake unajikuta unafall haraka kwa huyu alojitikeza kiasi cha kujiaminisha kuwa unampenda zaidi au ukahisi anakupenda sana zaidi ya yule wa kwanza (hapa unakuwa unaifupisha healing process na unawezajikuta unatumbukia kwenye janga kubwa zaidi pale itakapotokezea kuwa huyu wa sasa naye msanii tu.
Nadhani umenielewa mpenzi.
Naungana na King'asti kumuombea msamaha kaka yetu.
Kila la heri dada
Hicho ndicho kipaji wanawake wengi walichojaliwa.....wepesi kusahau
Ili visukari na presha viwaue!..unataka tuwe wepesi kukumbuka maumivu,ili iweje?
Ili visukari na presha viwaue!..
All the best dear...be yourself, let him love the real you and love him more...!