Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
am jilaz
anyway, i wish you luck, katika mapenzi hayo mapya.
Kabla hujatumbukia kwenye hilo penzi tete, hebu come this way babu nikufanyie ukaguzi......
Tatizo uliingia kama geti krasha. BTW hilo penzi jipya unalotaka kulianzisha tayari mtu kashaonja kitumbua au kaambulia japo kuondoka na harufu ya pafyumu yako? Babu liko jilaz sana na wajukuu zake ujue....babu tangu jana nilikuja,huo ukaguzi bado tu,
Tatizo uliingia kama geti krasha. BTW hilo penzi jipya unalotaka kulianzisha tayari mtu kashaonja kitumbua au kaambulia japo kuondoka na harufu ya pafyumu yako? Babu liko jilaz sana na wajukuu zake ujue....
Uuuuh,
Gud newz!
Never say Never, coz you Never Ever know whats ever gonna happen in life!
Sure nimeenda..very true pj umeenda kanisani?
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or not i realy meant it!
Out from the blue,ametokea jamaa amedeclare mapenzi mazito kwangu mpaka hata sijui nifanye nini.Kidogo kidogo ameanza kuwin moyo wangu.
Nachowaomba wanajf wenzangu mnitakie kheri kwenye hili penzi langu jipya na mnipe namna za kulifanya lilast forever.
Sure nimeenda..
Wewe vp umeweza kwenda?
Si umeona Mkuu eeh?Umemwuliza qualification yake kwenye mapenzi?
Wengine tunasubiri zitangazwe vacancies
Sure nimeenda..
Wewe vp umeweza kwenda?
Nimeanza kuukubali msemo huu.Baada ya kung'atwa na nyoka kila nilipoona nyasi sikuweza kuacha kutapatapa!
Nililia na mapenzi mie mpaka nikahisi na gundu, nikaapa sitaki tena mapenzi.Trust me or not i realy meant it!
Out from the blue,ametokea jamaa amedeclare mapenzi mazito kwangu mpaka hata sijui nifanye nini.Kidogo kidogo ameanza kuwin moyo wangu.
Nachowaomba wanajf wenzangu mnitakie kheri kwenye hili penzi langu jipya na mnipe namna za kulifanya lilast forever.
Umemwuliza qualification yake kwenye mapenzi?
Wengine tunasubiri zitangazwe vacancies
hello pj
somo la leo lilikuwa linahusu nini?