G
Hakika.....,. noted!
Hakika
🤝Kila changamoto haimaanishi mwisho wa safari. Wakati mwingine unatakiwa kupumzika, kujipanga upya na kuendelea.
Usikate tamaa. Endelea kupambana mpaka ufanikiwe. 🔥
Mimi kupambana nilishaacha kitambo baada ya kugundua kwamba kila nikipambana sipati lakini nikimtumaini Mungu mambo yanateleza effortlessly😀Kila changamoto haimaanishi mwisho wa safari. Wakati mwingine unatakiwa kupumzika, kujipanga upya na kuendelea.
Usikate tamaa. Endelea kupambana mpaka ufanikiwe. 🔥
Mimi kupambana nilishaacha kitambo baada ya kugundua kwamba kila nikipambana sipati lakini nikimtumaini Mungu mambo yanateleza effortlessly😀
Nasemaje,siwezi kutaabikia mambo ambayo aliyeyaumba yupo. Yatosha kwa mateso niliyopitia. Ingawa nilijifunza kwa njia ngumu lakini sikubali kurudi tena Misri.
Haswaa ila pana wakati nabidi uvute pumzi upate utulivu ili usichokeHakuna kuchoka.
Naam nafasi yangu ya kutenda(kuwajibika) ipo pale pale but my point is, it should be under God's guidance!😁 well pia inaangalika una pambana na nn Maana Mungu pia yupo kwenye utendaji
Naam nafasi yangu ya kutenda(kuwajibika) ipo pale pale but my point is, it should be under God's guidance!
Amen..
Its not over until its OVER.
#YNWA
#YANGA_BINGWA