Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
Unatakiwa umshukuru Mungu kwa maisha uliyonayo. Kuna wanaolalamika hawana kazi lakini wapo nyumbani wana uhakika wa kula na kulala. Kuna ambao wana hela mpaka wanaenda kuzitupa kwa michepuko. Kuna ambao wanataka wajiue eti kwa sababu ya mapenzi,kutengwa na mambo mengine.
Ona huyu kijana hapa pamoja na maisha kuwa magumu lakini hajakata tamaa anaamini Mungu yupo pamoja nae na kuna siku maisha yatakaa vizuri. Tumshukuru Mungu kwa hicho kidogo alichotupa na tuamini mambo mazuri yanakuja.
NEVER GIVE UP FRIEND