Wakuu nina samsung s4 nili unlock kwa 7bu ilikuwa haisomi mtandao wa tz lakini baada ya hapo 3g network imekuwa ikisoma kwa shida. Nilikuwa naomba Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia ku fix hili tatizo pls tuwasiliane.
Hii ni kwa cm yangu tu. Line inasoma ila network ya 3g kutumia internet ndo shida. Mafundi wengi waongo waongo thus y nahofia kupeleka ndo nikaomba msaada humu 7bu humu v2 vingi vinawezekana.