It is Sur_Plus
Senior Member
- Sep 28, 2010
- 167
- 7
nimejaribu kutumia moderm tofauti za airtel, tigo, voda, na zantel but tatizo lipo palepale. napachomeka moderm ina detect device na network na ukiconnect ina inaonesha ipo connected lakini napojaribu kwenda online inagoma au inaleta DSN server not respondingau no internet access.
pia kwenye notification taskbar network icon inaonesha no network access.
leo ni siku ya3 hali ni ileile na tatizo hili lilianza baada ya kubadili antivirus nilikua natumia ESET SMART SECURITY nika weka Microsoft essential security nimejaribu ku uninstall na kuirudishia ya mwanzoni but tatizo ni palepale.