Urusi is a lost sheep. Libya Russia na China waliloose diplomatically, na Syria wanaloose tena, kwani Asaad lazima ng`ooke na watu wanajua Russian na China ndio walizuia Nato+Qatar+Saudi +etc kuwasaidia.Mbaya zaidi jamaa wameiongezea serikali silaha. It funny urusia na China watatulizwa kwa kupewa dili la kuwauzia Iran na syria silaha kali kali wakiwazuga kuwa wanawasaidia jiandaa kwa vita kuwapiga ma shetwani wa Magharibi+ Israel. Halfu jamaa wakapata kichwa the Bunk busters zikashuka km mvua.Huku Urusi na Uchina wakipiga domo na mikwara kibao.Hayo makelele wanasubiri wataalamu wa hizo nchi waondoke.Utaashangaa hata Ufaransa wapo Iran, Urusi, sweden, Norway etc na ni ktk vinu vya Nuke.wakishachukua hela za kutosha na mikataba ya wese utasikia tuu ndege za Israel zimeonekana zikielekea kaskazini Mashariki, na Iran watasemea wavamizi mashetani wamejaribu ingia ktk anga yao wakakurupusha, na ndege ya kizushi kuwa imeangushwa.halafu Israel wanaweza wasijibu maswali ya kijinga zaidi ya kusema ilikuwa siku nzuri kwa israel.
Believe me Western civilization wanongea lugha wanazozijua wao pekee yao, civilizations nyingine zinatambua misamiati na si context ya sentence.Thats why Hispania iliwahi kuwa Muslim country kwa around 500yrs.Yet siku moja wakageuka na kuwa Wakatolic wote, je jiulize walijipangaji kati ya waarabu, kati ya waislam swafi ndio utajua kuwa waliweza ongea lugha hiyohiyo kati ya watu hao hao,bila hao watu kuelewa kwa usahihi.Waarabu kupitia muslim civilizations wanaumia sana na hawachoki kwa hilo.
Warusi watakuwa active ila si kama watu wanavyofikiri, Putin ana machungu ila kila siku zikienda anazidi loose.warusi hawautaki tena ujamaa,Obama kabadili jinsi ya kuweka missile shield,ila kaweka, kila kukicha former soviet nations zinajituma kuingia EU, zinataka Missile shield.Russia wanakimbilia ktk TV style ya TBC...RT ni kioja.
Mtashangaa kwanini baada ya Yao Ming kuanza achana na NBA, Jerem Lin amekuwa zawadi kwa US kuibomoa China kiutamaduni.Lin ni Taiwanese/Devout Christian/Havard Graduate.One night superstar.He is already a problem with our cultural, ideological,racial commone senses.
Utashangaa kwa nini Rais wa Iran na aliyepo ni zawadi kwa US na West.Yeye anatoa maneno sahihi kutumika km ushahidi wa nia ya Iran kwa Israel+Saudi Arabia ingawa haisemwi.Saudi Arabia,bahrain,Qatar and other Arab states ndio wata Loose zaidi km Iran itakuwa Super Power+Nuke state.
Kuna uwezekano mkubwa sana Warusi wakawa active this time, ndo maana inabidi west na Israel wamove cautiously.
Russia wamegundua kuwa west wako active ku regain power and control over the "colonies" or over their "National interests"
Na kurudi kwa Putin ambaye bado ana beef stemminf from the cold war era, na yeye anadhani kuwa bado urusi wana share yao kwenye world politics and power, hawatakubali kupoteza kila kitu na wameashiria hivyo.
Mfano Syria ndo sehemu pekee urusi waliyobakiwa nayo ambayo wana bases nk. Pia influence over Iran.
Its a bit complicated, cha muhimu tusubiri their next moves.