mungu wa israel asifiwe njama za kutaka kupiga marufuku silaha za maangamizi zimeshindwa
Naona unajisahaulisha swali langu. Usifikiri nimesahau
WAISLAM, NITAJIENI JINA LA NCHI TAKATIFU YA WAISRAEL AMBAYO ALLAH ALIWAPASurat Al Maida 20. Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.

Nakuuliza unipe jina la nchi, weye unanipa aya. Huu sasa ndio Msiba.Nilikujibu hii kitu kwa kukuasa usidanganye kondoo za bwana.
Hiyo ayat inapatikana hapa. Surat Al-Ma'idah - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Sasa isome ujione ulivyo mwepesi.
Nilikujibu hapa. https://www.jamiiforums.com/interna...is-ours-all-of-it-is-ours-5.html#post12808142
Huyo mungu wako aliyewapa ardhi watu waliomfanyia kitu mbaya alizaliwa lini?
Unasema walimfanya nini?
Baada ya kumfanyia hiyo kitu ndio aliwazawadia ardhi?
"Mungu wako" kazaliwa amekuta watu wanachana life.
Na pale alikuwa anaishi Bikira Maria alipewa na huyo mtoto aliyemzaa?
Huhitaji kuwa Prof. kujua hii unayoona ni hoja kuwa ni kiroja.
Unaweweseka kwa kunywa juisi ya pilipili?
Sasa hapo ndio unajidhihirisha kuwa akili yako imelala.Nakuuliza unipe jina la nchi, weye unanipa aya. Huu sasa ndio Msiba.
WAISLAM, NITAJIENI JINA LA NCHI TAKATIFU YA WAISRAEL AMBAYO ALLAH ALIWAPASurat Al Maida 20. Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.
WAISLAM, NITAJIENI JINA LA NCHI TAKATIFU YA WAISRAEL AMBAYO ALLAH ALIWAPASurat Al Maida 20. Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.
Bullocks! Why people cannot understand and reason? How come a mortal be God? Do they know the meaning of God? The one who has been before anyone or anything, and will be after anyone or anything. Was not begotten nor does He beget. No anything, anyone resembles Him.
THIS IS WHAT IS MEANT BY THE WORD 'ALLAH'.