Netanyahu: Kuishambulia Iran ni sawa na kuichimbia kaburi Israel

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,064
18,053
NETANYAHU AIONYA MAREKANI NA ISRAEL

Aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu amezionya Marekani na Israel kuhusiana na mpango wake wa kuishambulia Iran.

Netanyahu amesema kwamba, kuishambulia Iran na ikakosekana lengo la shambulio hilo na kuiacha Iran bila kuangamiza kituo chochote cha nyuklia hama kambi za jeshi ni sawa na kuichimbia kaburi Israel. #israel_radar
 
Chanzo?
 
... ameeleza vizuri sana! Kwamba, kwa usalama wa Israel, Iran haitakiwi kushambuliwa nusu ikaachiwa pumzi; inatakiwa ichakazwe mazima. Kama ni nyoka anatakiwa apondwe kichwa vilivyo, sio kukata mkia. Yuko sahihi na ameshauri kwa usahihi.
 
Chanzo cha hii habari ni wapi?au ndio vijigazeti vya huko manzese?
 
... ameeleza vizuri sana! Kwamba, kwa usalama wa Israel, Iran haitakiwi kushambuliwa nusu ikaachiwa pumzi; inatakiwa ichakazwe mazima. Kama ni nyoka anatakiwa apondwe kichwa vilivyo, sio kukata mkia. Yuko sahihi na ameshauri kwa usahihi.

Nani ameeleza hayo?
Wapi alipoeleza hayo?
Chanzo cha hii habari?
 
... ameeleza vizuri sana! Kwamba, kwa usalama wa Israel, Iran haitakiwi kushambuliwa nusu ikaachiwa pumzi; inatakiwa ichakazwe mazima. Kama ni nyoka anatakiwa apondwe kichwa vilivyo, sio kukata mkia. Yuko sahihi na ameshauri kwa usahihi.
Nakumbuka Marekani iliishambulia Afghanistan (taifa lililokua dhaifu kijeshi wakati ule) kwa mbwembwe, na baada ya kutumia sijui trilioni ngapi za dola na licha ya kua na muungano/washirika kibao wa kijeshi, Finally hawakufua dafu. Kuiteketeza Iran ni ndoto za mchana.
 
Ukiwa kwenu ukashiba utakuwa unaleta habari za udaku km hizi ila km umepanga au umejenga unapambana na maisha. Huwezi kupost utopolo km huu.
Hapo anategemea kutakuwa na vita vya Iran na Israel. Atasubiri sana maana Israel hawezi kuingia vitani km hajashambuliwa
Kwani mtu akiishi kwao Kuna shida gani? Kwani nyie mnaishi kwa watu au kwa majirani?
 
Bwana mdogo vita vya ufahari vimeshapitwa na wakati. Vita vya ufahari wanapigana watu waliokimbia elimu dunia maana hao huamini ktk machafuko hupata thawabu.
Ndiyo maana Libya ilipigwa na uingereza na Marekani huku wamekunja 4 ofisini wanakunywa mvinyo
 
Huujui vizuri uisilamu ndiyomaana unaongea ucvyovijuwa. Usome vizuri uisilamu upate kujuwa, na co kukaririshwa na kuaminishwa na makafiri wa kiyahudi na haoo makafiri wa westerns.
 
... ameeleza vizuri sana! Kwamba, kwa usalama wa Israel, Iran haitakiwi kushambuliwa nusu ikaachiwa pumzi; inatakiwa ichakazwe mazima. Kama ni nyoka anatakiwa apondwe kichwa vilivyo, sio kukata mkia. Yuko sahihi na ameshauri kwa usahihi.

Eti ichakazwe mazima 😁 unaongea ukiwa tandale nini!!!!!
 
Nakumbuka Marekani iliishambulia Afghanistan (taifa lililokua dhaifu kijeshi wakati ule) kwa mbwembwe, na baada ya kutumia sijui trilioni ngapi za dola na licha ya kua na muungano/washirika kibao wa kijeshi, Finally hawakufua dafu. Kuiteketeza Iran ni ndoto za mchana.

Acha Afghanistan ambayo ilipigana na Mrusi
Kumbuka Somalia alivyojitetea wakiwa na Mbabe wa vita General Mohammed Aidid
Siwezi kusahau wamarekani walivyolia na kuomba watoto wao warudishwe haraka baada ya mikono na miguu ya wanajeshi wao kukatwa na kupewa watoto wa Baba kuburuza kama toys barabarani huku reporters wanapiga picha

Black hawk down ikatengenezwa
 
Back
Top Bottom