Kwa sababu ya ung'ang'anizi wa Wapalestina, sio?
Ewe Buchana,
Wako watu wanaoamini kimadhehebu lazima to assuport Israel sijui ndio aignie peponi!
Issue ya Jerusalam imepitiswa United Nations Security Council, General assemble and msimamo ni wazi - Wayahudi watoke katika nchi zote wanazozilakia kimabavu tangu 1967.
Ingawa hawaheshimu sheria au mwito wowetu (mtoto pekee) anayemuhumu Baba afanye nini, lakini kila kitu kinamwisho na isivyokuwa pepo zinatungwa?
Cha ajabu kwanza walewale watoto waitwao watoto wa Mungu hawatambui Yesu (kumuona mwana Haram) na si wakiristo. Cha ajabu baadhi ya wapelestina ambao ni wakiristo hao si watoto wa Mungu?
Akisema hivi au vile haina maana ni mwisho wa dunia. History haiangidwi kwa miaka 50 au 60 ni kipindi kifupi sana. Siku itafika ambayo Al Quds na misikiti mtakatifu wa 3 utasaliwa na waislam na makanisa yaliyopo haop yatasaliwa na wakirsto. Uupuzi wa Jamii reporting unaelekea kitoto siku baada ya siku

Mimi nilikuwa nazungumzia njia ya kufikia amani ya Mashariki ya Kati, kama kuna uwezekano huo anyway! Hata hivyo soma habari hii HAPA ambapo Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniya, amedai kwamba "no recognition of Israel and no concessions over any part of the land of Palestine," alipokuwa anahutubia umati mkubwa wa watu huko Gaza. Hao ndio wapinga amani ambao huwa wanahakikisha kila yanapotaka kufanyika makubaliano wanaanza kujilipua mabomu! Hayo mambo ya General Assembly kupitisha Azimio unayafahamu wewe, kwa Hamas ndani ya vichwa vyao wanaona kwamba taifa lote la Israel linatakiwa lisiwepo. Hawajali mambo ya mwaka 1967 wala UN Resolutions!
Na kwa habari ya Israeli, Mungu mwenyewe alitamka katika Isaya 49:15 - 16 kwamba hataweza kuisahau Israeli na ameichora katika vitanga vya mikono yake! Pia imeandikwa kwamba Waisraeli WOTE wataokolewa, kama ilivyoandikwa mwokozi atakuja kutoka Sayuni! (Rum. 11:26).
Kwa upande wa Msikiti wa Al Aqsa na makanisa yaliyopo maeneo ya Bethlehemu, hakuna mtu aliyekatazwa kwenda kuabudu huko kwa wakati huu! Ni ubaguzi wa Waarabu tu ambao wanapenda kuwa waishi peke yao katika dunia hii!
Wangelikuwa na ndege F15 wangezitumia kujilinda kama wanavyofanya Israel kuuwa watoto, wazee na yeyote asiye na hatia! Usipotaka wasijipue kama walivyofanya Wamerakani na Wahayudi kabla yao wape ndege na vifaru uone.
Hicho kitabu kinachobalishwa kimaandiko kila kikao na sijui ni biblia yako ni according to whom "New Version" according to ? weka kongomano na leta vitabu vyako kutakumbushana.
Hizo habari na media amabazo 95% ni za mayahudi endelea kuzisikiliza ila tu iko siku dunia nzima inaweza ikalipa thamani kwa kutosuluhisha mgogoro unaojurikana vizuri! ndiyo dua yako itapokelewa labda?
wewe binafsi unawenza kumkabidhi shamba lako mpita njia? mmetawaliwa na propaganda na ushabiki badala ya haki na ukweli!Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa Mji Mtakatifu wa Jerusalem, ambao ni Mji wa Wayahudi, hautagawanywa ili Wapalestina waufanye kuwa mji wao Mkuu kwa upande wa mashariki ambao ni mji mkongwe!
Source: BBC/Al Jazeera.
My take: Wapalestina waufanye Ramallah au Gaza kuwa mji wao mkuu, yaishe. Then kulingana na Oslo Accords, kama nakumbuka vizuri, Jerusalemu uwe mji wa kimataifa au uwe chini ya Waisraeli! Otherwise, amani itakuwa ndoto!
Na Waisraeli inao watesa na kuwadhulumu wao watahukumiwa na nani? Muheshimiwa ukilala ukiamka ni Wayahudi tuu Vp bwana, wao ni untouchable?Here is the what God will do to nations that will participate in dividing the land of Israel.
Joel 3.1-2:
1: In those days and at that time, when I restore the fortunes of Judah and Jerusalem,
2: I will gather all nations and bring them down to the Valley of Jehoshaphat. There I will enter into judgment against them concerning my inheritance, my people Israel, for they scattered my people among the nations and divided up my land
Mataifa yote yalioshiriki katika kuwatesa Israeli watahukumiwa na Mungu.
Kooote unazunguka zunguka tuu! lakini nia yako ni kuonyesha chuki yako juu ya Uislaam ! Mwenyezi mungu atatuhukumia siku hiyo baina yetu na yako!Waarabu na ideology yao ndio kiini cha machafuko Mashariki ya Kati na dunia nzima.
Angalia Somalia, Iran, Iraq, Afghanistan, Yemen, Egypt (Muslim Brotherhood), na sasa wanataka kuiingiza Uganda na nhi zot eza Afrika Mashariki.
These people are crazy!!!! Kwao hakuna mwema hata kidogo, kila mtu ni muovu tu mbele ya macho yao, na wakati wao wenyewe ndio waovu na wauaji wakuu.
ipo finali mzee usiwe na wasiwasi!