Pole sana na chuki zako, habari ya mjini ndio hii
Elungata
Kwa sasa hakika Israel hawezi enda kwa Iran maana Obama anaweza goma msaidia.
Republicans wakiingia ataweza fanya hivyo.
Ila kuishambulia Iran inabidi umshambulie haswa ili asiweze pumua afu upeleke ground troops vinginevyo tegemea retaliation ya hatari sana.
Hapo inabidi amrukie akiwa hajajiandaa aharibu airport, fighters, nucleur facilities na bombs facilities, aharibu ma bandari ili mrusi asipeleke misaada ya mabomu.
Pia its a gamble maana itaamsha vita kubwa sana pale Middle East.
kumrukia gafla ni ki2 ambacho c rahx coz iran ana mifumO YA ANGAN YA KIXAXA AMEITEGA KWA XIR IRAQ SYRIA LEBANON
hahahaha hujakutana na pdidy lazima uumwe kichwaUandishi wa aina hii hautakiwi jf. I hate this stupidity.
process ya kidemocracy,lakini kwa wao.
mfano siku ya kupiga kule netanyau alipoona waisrael waarabu wanakwenda kupiga kura kwa wingi,akaenda kwenye tv na kutangaza live kuwa,eti anaona makundi ya waarabu kwa wingi wakienda kupiga kura ni hatari,wayahudi jitokezeni mkapige kura.
kumrukia gafla ni ki2 ambacho c rahx coz iran ana mifumO YA ANGAN YA KIXAXA AMEITEGA KWA XIR IRAQ SYRIA LEBANON
Uandishi wa aina hii hautakiwi jf. I hate this stupidity.