Netanyahu ashinda kwa kishindo


Kwenye kifo hana ujanja, afanye atakavyo ila mwisho wake ni kifo, tenq cha dhalili,,, kibri kimemjaa sana,,
 
Unaweza kuleta ushahidi wa mahali netanyahu alisema ataipa ukraine silaha...?
Msimamo wa Israel kama taifa ni Kutokuipa Ukraine...au nchi yoyte ile silaha... Haijalishi ni chama gani kinatawalaKatika kitu kigumu kwa israel tangu wapate uhuru basi ni kutoa msaada wa Silaha...labda Ukraine wanunue kwa Cash kama wanavyofanya India, US nk. Lakini siyo msaada
 
Ndiyo maana hii ni International forum na walioiweka hawakuwa wajinga.Hayo ya nyumbani nenda kule Jukwaa la Siasa utayakuta yapo mengi tu.
 
Jamaaa alipinga ombi la Ukraine kupewa Drones na mifumo ya Anga.
 
Bibi alitoa kauli moja hivi "Remember the name, Mohsen Fahkrizadeh"......baada ya mwaka mmoja huyu mwanasayansi wa Iran akagezwa Ndafu.
 
Huyu mzee alioaswa kukaa pembeni. Nadhani atakuwa na umri mkubwa kuliko babu Biden. Netanyau ni kama wassira au kina Nguema. Anapenda madaraka sana.
 
Akishinda museven au lula da silva unaitwa uchafuzi ila akishinda netanyahu unaitwa uchaguzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huon Netanyau aliposhindwa alitulia ila M7 aliposhindwa aliwaweka wapinzan ndan , wapinzan wa M7 wanabadilishana vyumba vya selo kila siku ila wapinzan wa Netanyau wanashirikiana na serikali kuongoza nchi yao
 
umeandika vzr kote ila paragraph ya mwisho kbs inamuhusu Iran na Palestina hapo umetumia udini , Iran ni mfadhir wa ugaidi hapo mashariki ya kati pia Palestina ni wabaguz wasiopenda kuish na jamii nyingine huez sema huwatak waisrael wakati wao waarabu wamejazana kweny mabara ya watu mf afrika kaskazin tumeaacha wale wakina Misri na Libyia , asili yao sio Afrika walikuja na kuwaua mababu zetu wakapora ardhi mpk leo
 
Netanyau na muumini mkubwa wa Russia! Netanyau haikuwa inapita miezi 3 hajatua Moscow l! Netanyau mwisho majuz aliwapa tahadhari viongozi wake kuwa wasije wakapeleka siraha Ukraine kwani hawataki kuharibu uslhusiano wao na Russia
 
mzee wa makazi ya walowezi this time atajenga makazi ya walowezi hadi milima ya golani
 
Netanyau na muumini mkubwa wa Russia! Netanyau haikuwa inapita miezi 3 hajatua Moscow l! Netanyau mwisho majuz aliwapa tahadhari viongozi wake kuwa wasije wakapeleka siraha Ukraine kwani hawataki kuharibu uslhusiano wao na Russia
Yaani ni Bora alinde uhusisno na Russia kuliko usa anayemlinda hapo alipo?!

Punguza ganja mkuu.
 
Yaani ni Bora alinde uhusisno na Russia kuliko usa anayemlinda hapo alipo?!

Punguza ganja mkuu.
Wakati mwingine inabidi ujifunze kutafuta habari...

Netanyahu ndiyo Kiongozi pekee Kutoka Middle East ambaye amekutana na Putin mara nyingi kuliko wote
..

Na unapaswa kufahamu ya Kuwa Tangu kupata uhuru Israel haijawahi kutoa msaada wa silaha kwa taifa lingine. Na hiyo ni sera yao kitaifa...kama unataka silaha zao lazima ununue....

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…