Netanyahu ashinda kwa kishindo

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Netanyahu ameshinda uchaguzi na kurejea katika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Israel. Katika uchaguzi wa Knesset, kambi ya Waziri Mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu ilipata wingi wa kura 64 bungeni. Netanyahu alishawahi kueleza nia ya kuipatia Ukraine silaha iwapo atachaguliwa tena.

Irani, Palestina kuteseka kupo pale pale. Mzee wetu huyu huwa haulizi swali moja mara mbilimbili. Wanasayansi wa nyuklia wa irani wanamjua vizuri tu.
 
[emoji1][emoji1][emoji1]kuteseka ni 22/7 ama 3.14
 
Mwafrika ngozi nyeusi kama magoti ya mbuzi unasheherekea mafanikio ya watu wa ng'ambo isiyokuhudu, unaacha kujishughulisha na hii migogoro ya ndan na majiran zako wa congo, sudan, somali, then unakimbilia huko middle east ambako hawakutambui wala hawajawai kukupenda, unakuwa una akili kweli?

Yaan tumefikia hatua ya kushangilia maumivu ya wengine kisa mahaba yako kwa upande fulani, wengi wanaoshabikia ushenzi wa hilo taifa na uongozi wa huyo jamaa ukiwachunguza vizuri akili hawana, ukiwauliza hata majibu wanayatoa ni ushabiki na chuki.

Iran, palestina na mataifa mengine yanayoteswa na huo uongozi wa netanyau si vizuri kushangilia, ifike mahala tubadirike, mngekuwa timamu mngeanza na mambo ya nyumbani kwenu.
 
Kuna watu ukiwatajia jina la Ehud Barak au Benjamin Netanyahu aka Bibi,kama mpo uchochoroni wanakuua.😂😂😂😂
 

tushangilie nin home? tozo au maji kukatika? nenda jukwaa la siasa kule tumeshangilia vya kutosha tayari
 
Ukajitoe Muhanga mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…