The information source "Trust me" even it's a fiction.Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Mnajufariji?Alihisi Iran Ni Gaza [emoji28][emoji28] Ukiua kwa Upanga Utauliw kwa upanga Farasi mwekundu yuko juu ya Israel kwa sasa
We jamaa upewe tuzo ya mtu asiyekuwa na akili zaidi humu jamii forumBaada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Na nyumbu wanamiminika kuamini swaga za kishamba kama kumbikumbi nyakati za masika.Ndo hizi habari, source yake ni "trust me brother"?
Na bado hamjasemaHizi hypersonic zina speed kuliko defence systems
Utaambiwa dunia kijiji ๐๐Watanzania mko mbali ,, mnataarifa za ofisi za PM wa Israel,kongole.
Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Dah kazi kweli kweli ,, atakuwa chawa wa Mama .Utaambiwa dunia kijiji ๐๐
๐ฎBaada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.
Putin amekataa, Iran walifanikiwa kurestore mifumo yao ya Ulinzi wa Anga kwa masaa machache tu baada ya mauaji ya wale viongozi
Huko Israel walowezi wameanza kumlaumu Netanyahu kwa kuwaingiza kwenye vita ambayo hawawezi kuimudu
My take: Kipondo cha Iran kitaendelea mpaka utawala wa Israel uparalyse kabisa wairan sio watu wa kawaida wale.
View attachment 3367888View attachment 3367889
Source?Baada ya kuona mbombo ngafu jamaa kamtwangia simu Putin na kumuomba eti aiombe Iran wasijibu zaidi.