Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,601 Reaction score 2,454 Jun 3, 2016 #1 Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali.
Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,068 Reaction score 43,510 Jun 3, 2016 #2 ni. net ipi? windows 8 inakuja na. net 4/4.5 huhitaji kuieka. net 3 ndio inabidi uieke mwenyewe
F Fyejmak Member Joined Jun 4, 2016 Posts 15 Reaction score 9 Jun 4, 2016 #3 Net 3. 5 itakusaidia, na ni free kudownload
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Jun 4, 2016 #4 ZAGANZA said: Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali. Click to expand... Nafikiri hiyo itakua ilikua compiled na .NET Framework ya 3.5 maana apps zote zilizo compile na 4+ zina run kwenye windows 8 vs 8.1 waweza install 3.5 na 4.5 nahisi win8 ilikua inakuja na 4.0
ZAGANZA said: Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali. Click to expand... Nafikiri hiyo itakua ilikua compiled na .NET Framework ya 3.5 maana apps zote zilizo compile na 4+ zina run kwenye windows 8 vs 8.1 waweza install 3.5 na 4.5 nahisi win8 ilikua inakuja na 4.0
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 4, 2016 #5 Mkuu kwanini mpaka leo hii bado unatumia window 8 wakati window 10 hainaga kabisa matatizo kama hayo?
Mkuu kwanini mpaka leo hii bado unatumia window 8 wakati window 10 hainaga kabisa matatizo kama hayo?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,068 Reaction score 43,510 Jun 4, 2016 #6 Lizarazu said: Mkuu kwanini mpaka leo hii bado unatumia window 8 wakati window 10 hainaga kabisa matatizo kama hayo? Click to expand... kwenye .net zote hazina 3 na zina 4/4.5
Lizarazu said: Mkuu kwanini mpaka leo hii bado unatumia window 8 wakati window 10 hainaga kabisa matatizo kama hayo? Click to expand... kwenye .net zote hazina 3 na zina 4/4.5
mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,850 Jun 4, 2016 #7 ZAGANZA said: Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali. Click to expand... 2 and 4 NT ziko vyema
ZAGANZA said: Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali. Click to expand... 2 and 4 NT ziko vyema
Lizarazu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 6,331 Reaction score 7,885 Jun 4, 2016 #8 Chief-Mkwawa said: kwenye .net zote hazina 3 na zina 4/4.5 Click to expand... Yah...window 10 imerahisishwa sana ni software chache sana zinazogoma kuwa installed kwa pc, kiufupi imekuja kucover dosari za w7 na w8. Sema ina complication tu kwenye kuiupdate
Chief-Mkwawa said: kwenye .net zote hazina 3 na zina 4/4.5 Click to expand... Yah...window 10 imerahisishwa sana ni software chache sana zinazogoma kuwa installed kwa pc, kiufupi imekuja kucover dosari za w7 na w8. Sema ina complication tu kwenye kuiupdate
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Jun 5, 2016 #9 windows 10 ina vikwazo sana kwa software ambazo hazijapita windows signature
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,068 Reaction score 43,510 Jun 5, 2016 #10 ymollel said: windows 10 ina vikwazo sana kwa software ambazo hazijapita windows signature Click to expand... kama ipi? sababu windows zote zina kitu kinaitwa compability mode ili kukuwezesha kurun software za nyuma. ukitoa mashirika makubwa ambayo yanatumia software ambazo hatuzijui sidhani kama kuna software ya watu wa kawaida isiorun kwenye windows 10
ymollel said: windows 10 ina vikwazo sana kwa software ambazo hazijapita windows signature Click to expand... kama ipi? sababu windows zote zina kitu kinaitwa compability mode ili kukuwezesha kurun software za nyuma. ukitoa mashirika makubwa ambayo yanatumia software ambazo hatuzijui sidhani kama kuna software ya watu wa kawaida isiorun kwenye windows 10