Mchambawani bwana! Yaani mnakwenda kwenye kiwanda cha instant coffee (TANICA) mjini Bukoba mnauziwa ready made instant coffee mnajaza kwenye plastic bags, mkisha fika Rwanda mna rebag kwenye capsules na ku-rebrand "UMUTIMA wa...."
Hamkuishia hapo mnakwenda mbali zaidi mnacopy maneno ya wenyeji wa Kagera " Omutima" mnasema "Umutima" tuta waburuza kwenye mahakama ya Dunia ili tugawane faida - nakwambia patachimbika.