Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Umejisikiaje kuitaja simba mbele ya wanaume wenzio!!!!! Lushoto cup mmeishia nafasi ya ngapi!!?!Azam "wanazi-cheat" timu zote za ukanda huu. Yule jamaa ukanda huu sio saizi yake, au kama amedhamiria kucheza ukanda huu basi Simba ndo saiz yake, azam anapoteza muda!
kumjua shabiki wa yanga haiitaji tochiYule jamaa umri umekwenda sana, ananyoa kipara ili kuficha mvi, Babu Paschal Wawa
kumjua shabiki wa yanga haiitaji tochi