Neno la uzima

mbarikiwe wote ,katika siku hii mpya ya leo! tumuombe bwana Mungu wetu mauaji ya watu wasio na hatia yakome huko mashariki ya Kati! na katika Nchini kwetu na katika jamii yetu, upendo utamalaki daima dawamu! Chuki ni chukizo kwa Bwana Mungu wetu! Tusichukiane kwa tofauti za kiimani Wala kisiasa Hadi kupelekea kumwaga damu! Amin
amin!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…