Neno la Siku: Usiogope

WARUMI 13:1-5
Mwenye hekima na busara atazingatia!
Mpumbavu ataona ni kichekesho na kudharau ili mabaya zaidi yampate milele walahi
Amina

Lakini pia watawalao nao wana wajibu wa kuwaongoza wale waliopewa kuwaongoza katika njia za haki, usawa na bila ya upendeleo ili wajipatie kibali mbele za watu wao na mbele za Mungu pasi na kuwa na hatia

Lakini pia nasi kwa mujibu wa sura hiyo tuna wajibu wa kuziheshimu mamlaka katika Bwana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…