Mpendwa mbona hizi habari njema hatushirikishani?..Unataka kwenda mbinguni peke yako?..Utakuwa boredAmina mtumishi, mchana tukutane kwa mwakasege
Amina mtumishi, mchana tukutane kwa mwakasege
Anamaliza leo, karibu twendeHivi anamaliza lini, natamani nimsikilize sijawai kumsikiliza mafundisho yake.
Anamaliza leo, karibu twende
Ha ha ha eti ntakua bored lolMpendwa mbona hizi habari njema hatushirikishani?..Unataka kwenda mbinguni peke yako?..Utakuwa bored
Amina mtumishi, mchana tukutane kwa mwakasege
Ubarikiwe kwa mwaliko wako kwenye ufalme wa Mungu lakini naona kwenye suala la lugha uko shalo sana kajifunze lugha ujue kutofautisha kati ya "si" na "thi", "zi" na "dhi"
Dhambi sio,zambi na urithi,sio urisi.
Ni hayo tu otherwise ujumbe wako nimeupokea vizuri
Wakati mwingine tena leo sitaweza.