The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Kuna wakati maisha hukupitisha katika kiza kinene Jambo kuu na la.msingi unalo paswa kulielewa tambua kuwa hiyo si adhabu, bali ni njia mpya yenye mtizamo wa kukujenga. Unapolia, unatafuta msaada, kila mlango unafungwa.
Unapowapigia simu ndugu marafiki na watu wano kuzunguka huku ukihitaji msaada ukihitaji mtu wa kukusikiliza, lakin hakuna ana hangaikana wewe kwa wakati huo hata wale uliowahi kuwa saidia , wote wana nyamaza.kimya.juu yako.kama.hwakufahamu na hawajawahi hata kukuona . Marafiki wanapotea. Ndugu wana puuzia kilio chako.
Lakini Wengine wanajua kabisa unachopitia, wana uwezo wa kukusaidia lakini hawanakusikiliza na kukuacha kama ulivyo.unaishia tu kuya anika mapito yako
.
Na hapo ndipo unajifunza ukweli ulio jificha ndani yako : tambua hicho ni kipinfi amabcho roho yako ina paswa kujengwa,watu wote husambaratishwa nawe ili usije kutegemea msaada kwao bali uutafute msaada w kweli ndani yako.
Iki ni kipindi ambacho Hata mke au mume anaweza kuondoka na kukuacha na kuamua kuisikiliza dunia. Jamii inaweza kukuona dhaifu, ikakuhukumu, ikakutenga, ikakudhalilisha. Lakini sikia hili kwa makini: Usiwahukumu. Huo ni mpango wa Mbingu kukupeleka mahali pa juu zaidi mahali pasipo tategemea huruma, bali nguvu iliyo ya ndani yako
Watu woote wanao ondoka na kukuacha nis ehemu ya mchakato wa kukujenga . Waliokuumiza walitumwa kukusafisha. Waliokunyamazia walikuwa ishara kuwa sasa ni wewe na Mungu wwako tu.
Giza hili si kaburi giza hili ni kama tumbo la uzazi lililo beba nafsi mpya. Na unapotoka kwenye giza hilo, hauwi yule yule tena. Unakuwa mtu mpya alie beba nuru, hekima, utulivu, wa nguvu ya kweli. Unaanza kutambua tofauti kati ya marafiki wa wakati wa furaha na wale waliotumwa kiroho kwa kusudi la kweli.
Na hapo ndipo unapoelewa: "Sikuwahi kuachwa, nilikuwa nipo kwenye mchakato.wa kuchaguliwa." "Sikuwahi kataliwa, naptia haya ili nijitambue." "
Unapoitwa kuwa mwanga, lazima upitie giza. Unapoitwa kuwa uponyaji kwa wengine, lazima uonje maumivu. Unapoitwa kuwa mkombozi, lazima uachwe peke yako kwanza — ili ujifunze kutembea na Mungu pekee.
Kwa hiyo:
Usiwalaumu waliokuacha.
Usijidharau kwa sababu ya giza ulilopitia.
Usikatishwe tamaa kwa sababu ya waliokukimbia.
Tambua: Ulikuwa unaandaliwa. Ulikuwa unachambuliwa. Ulikuwa unajengwa kwa misingi ya milele. Na sasa, unaitwa kuwa nuru kwa waliopitia kiza kama ulichopitia.
Kiza unachopita ni njia kulekea ukuu wako pasipo macho. Giza lina kufundisha kusimama pasipo msaada wa mtu yeyote.
Hii ni safari ya waliochaguliwa si kila mmoja atakuelewa.