Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,880
MUNGU ANANENA HAYA JUU YA MTUMISHI WAKE .
**"""TUNDU LISSU"""**
ISAYA 41:10-12.
(10) Usiogope kwa maana Mimi nipo pamoja nawe,Usifadhaike kwa maana Mimi ni Mungu wako,nitakutia nguvu,naam,nitakusaidia,nitakushika kwa mkono wangu wa kuume wa haki yangu.
(11)Tazama wote walioona hasira juu yako,watatahayarika na kufadhaika,Watu washindanao nawe watakua si kitu,na kuangamia.
(12)Utawatafuta wala hutawaona,wale wapiganao nawe,watakua si kitu,Watakua kama kitu kisichokuwa,Wale waliofanya vita juu yako.
YEREMIA 1:19
(19) Nao watapigana nawe,lakini hawatashinda,maana Mimi nipo pamoja nawe,asema BWANA,ili nikuokoe.
YEREMIA 15: 21
(21) Nami nitakuokoa na mkono wa watu wabaya,nami nitakukomboa katika mkono wao wenye kutisha.
YEREMIA 1: 8,10
(8) Usiogope kwa sababu ya hao,maana Mimi nipo pamoja nawe nikuokoe,Asema BWANA.
(10) Angalia nimekuweka Leo juu ya Mataifa na juu ya Falme,ili kung'oa na kubomoa,na kuharibu,na kuangamiza,ili kujenga na kupanda.
ZABURI 118:17
(17) Sitakufa bali nitaishi,Nami nitayasimulia matendo makuu ya BWANA.
*****EEE MWENYEZI MUNGU,DUNIA IKASHUHUDIE KUWA WEWE NDIE MUUMBA WA MBINGU NA NCHI KUPITIA TUKIO HILI****** Aaaamen.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app