MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
Kulikuwa na wagonjwa katka hospital moja wamekaa wanamsubili doctor atoke kula chakula cha mchana mara aliporud akaingia ndan na mgonjwa wa kwanza kwny bench akainuka na kuingia ndan walianza kuongea hv
DOCT: Unatatzo gan?
MGONJW: Kichwa kinauma ninasikia joto mpk ninywe soda na maj kwa wing
DOCT: Sasa unasubir nini nenda kwa babu loliondo shaur yako.
alipoona yule aliemwambia hakusikia akatoka nje kuwafuata wagonjwa wanaosubil kuingia na kuwaambia
DOCT: Nyiny msikae hapa kwnye bench mkisubir kuingia humu ndan wakat alie2rahsishia kaz yupo loliondo hebu nenden huko mwache mm nilale ofisin sawa