Nena neno jema lolote dhidi ya Rais JPM

Sonofsoil

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,126
1,176
Naomba kila Mmoja wetu anene neno jema dhidi ya Mh. Rais wa JMT ndugu JPM kwa mema anayoitendea nchi hii ambayo miaka 17 hivi ilifanywa kuwa shamba la bibi.

Pili tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya magufuli. Ni Zawadi ya kipekee kwa taifa Letu la Tanzanie. Ni lulu tena ya aina yake kutoka kwa Mungu, Nizawadi ya kipekee
 
Kusema kweli sahivi naona mh. Kaamua kudili na makubwa yenye mizizi minene minene. Kwanza kuing'oa CDA si mchezo na leo tena kakomesha kwenye madini. Hii ni meseji hatari sana, tusisahau wazee wa bandari hari ishakuwa ngumu kama siku zile za watumwa utumwani misri. Na tumemwona jamaa sembe imemchanganya mpaka kaachia kilabu, hii ni babu kubwa.
 
Usku mwema baba mkubatie mkeo kwa rahaa zako,mama mkubatie mzee leo kafanyabkazi nzito
 
Back
Top Bottom