Neleja na giza lake

Neleja na giza lake

muraweto

Member
Joined
May 3, 2011
Posts
19
Reaction score
1
Ngeleja anazidi kutugawia giza badala ya kutupa umeme! kinachonishangaza katibu mkuu wa wizara anatuhumiwa kwa kukusanya pesa za kuwahoga wabunge ili wapitishe bajeti lakini eti Ngeleja yeye safi!!! hivi huyu Jairo alikuwa anafanya kwa niaba ya nani na ili mfurahishe nani kama si Kikwete na baraza lake la mawaziri na hasa Ngeleja? mbonawao hawawajibiki?
 
Back
Top Bottom