Aisee technolojia ya zamani . Wengi waliokuwa wanafanya technolojia hiyo wamehamia digital photo, au wengine wamefunga biashara kabisa. Kama Negative zako zilishafanyiwa Development (D/O) unaweza kupita kwa wanaoprint kwani kuna Baadhi ya scanner zinaweza kuscan negative. Au unaweza kufanya mautundu mwenyewe kwa kutumia camera ila hazitakuwa angavu.