Najitolea kufundisha jinsi ya kuwatenda wenzi wetu. Je uliwahi kutendwa..... usilie nifuate nikufunze jinsi ya kumfanya ajione -----...
CV zangu ni hizi:
K.O ( niliowatenda live ).... 6
T.K.O ( nimewatenda indirect) ..... 2
draw/droo ( tuliotendana) ... 1
defeated ( nilitendwa) .... 0
kwa sifa hizo najua ntafundisha vizuri kuwatenda wenzi wanaojiachia kama dunia yao...
Karibuni Negative love university college..
NB: WHAT GOES AROUND COMES AROUND