Mkuu usihofu NECTA ya sasa imeweka kila kitu wazi sio kama zamani, unaweza kupata fomu ya ku-appeal kwenye tovuti ya NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) pakua jaza kwa usahihi, lipia na kisha itume NECTA kwa huduma. Maelekezo yote ya malipo yapo kwenye fomu hiyo.
Hii ni NECTA ya uwazi na Ukweli ya kwanza kutokea Tanzania.
100% nilikuwa baraza leo mchana na nikapewa taarifa hizi na baadhi ya jamaa zangu hapo baraza. So naamini ni za kweli, vinginevyo hawa rafiki zangu wawe wameamua kunidanganya.
Usitake kudanganya watu, Tanzania ya leo si ya jana:Usifikiri kila Mtanzania ana access na hiyo mitandao mkuu, wengine tumetumia vibatari kujisomea na mpaka sasa bado vinatumika, hizo fomu za kupakua kwenye website ya NECTA ataweza kweli kuzipata achilia mbali kulipia hiyo gharama? Transcript yenyewe kuipata ni kwa mbinde sembuse kufuatilia rufaa ya matokeo ya mtihani.
Tuwe wakweli, kwa wengine mazingira bado ni magmu mno kupata haki inayotakiwa.
Uongo wa kwanza huu hapa:
"Alimtaja mwanafunzi mwingine, Martin Rushaigwa, namba 01197/0173, ambaye alifanya masomo ya Arts.
Alisema matokeo ya mwanafunzi huyo yanaonesha kuwa ameongezewa alama za masomo ya biashara ya Bookeeping na Commerce, ambayo hakuyafanya kabisa".
Matokeo yanayoonekana mtandaoni ni:
[TABLE="class: cms_table, width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0173
[/TD]
[TD="width: 4%"]M
[/TD]
[TD="width: 6%"]34
[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Napata sababu za kutilia mashaka tuhuma za Mwl. Bujugo.
Mimi nilijua tu huyo Bujugo mwongo! Baraza haliwezi kufanya kosa kubwa kiasi hicho.
Kama mkuu wa shule akili zake ni za hivi, wanafunzi wake watakuwaje? Tusi...kali, ptuuu
Mimi nilijua tu huyo Bujugo mwongo! Baraza haliwezi kufanya kosa kubwa kiasi hicho.
Kama mkuu wa shule akili zake ni za hivi, wanafunzi wake watakuwaje? Tusi...kali, ptuuu
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
Chanda chema huvikwa pete.
Kama aliyesema ni mwenye shule,iweje necta waweweseke.
ushauri .necta wajitathimini .
Bujugo kamaliza la saba, hata sekondaki hajafika.Mkuu,
Huyu jamaa ni msaani kweli kweli!!!!. kaupotosha umma kuwa matokeo ya Green Acres yamechakachuliwa. Ona ufafanuzi uliotolewa na NECTA kuonesha kuwa kumbe Bujigo hajui hata namba wa wanafunzi wake au alifanya hivyo kwa makusudi kwa lengo la kujipatia umaarufu na kulichafua Baraza. NECTA wamemwaga mboga hadharani... haya wadau ona ukweli wa mambo....