Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,964 Reaction score 8,938 Oct 4, 2018 #1 Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio. Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali.
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio. Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali.
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,964 Reaction score 8,938 Oct 6, 2019 Thread starter #2 Huku hamna watu wa NECTA? Au hadi Maghufuli awalazimishe mjiunge?
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,996 Reaction score 5,461 Oct 6, 2019 #3 Wako busy wanaandaa mtihani wa kidato cha pili na cha NNE, wavumilie tu wakimaliza watakuja kutoa ufafanuzi...
Wako busy wanaandaa mtihani wa kidato cha pili na cha NNE, wavumilie tu wakimaliza watakuja kutoa ufafanuzi...
ushahd Senior Member Joined Jul 30, 2019 Posts 176 Reaction score 104 Oct 7, 2019 #4 Kirchhoff said: Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio. Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali. Click to expand... Mbona yapo,nenda google andika Necta,alfu chagua ACSEE utapata link za matokeo hayo
Kirchhoff said: Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio. Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali. Click to expand... Mbona yapo,nenda google andika Necta,alfu chagua ACSEE utapata link za matokeo hayo