Mkuu nadhani ni hii wiki maana tayar mchakato ulishaanza since last sunday na kazi ya kuchakachua inafanyika usiku na mchana kwa mujibu wa maelezo ya afisa habari wa NECTA bw. John Nchimbi.