KPClassic
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 103
- 27
Natumai mu wazima wana Jf wote, naomba nisiwachoshe sana mm ni mtahiniwa was kujitegemea nilifanya mtihani wa kidato cha sita 2012, kwa sababu nlikua masomon nilichelewa kwenda kuchukua cheti posta MUSOMA, kikawa kimerudishwa baraza, nikawapigia simu baraza wakaniambia nichukue fomu ipo katika website yao nijaze na nilipe pesa kisha niitume kwa ems watanitumia Cheti, shida ni kwamba hiyo fomu kwenye website haipo kila nikiwapigia simu wanasema subir baada ya saa moja tutaiweka au omba kwa e-mail tukutumie yapata mwezi sasa sijaipata na ukipiga simu mambo yaleyale nashindwa kuelewa Mfumo huu wa utendaji kazi, mwenye kuweza kunipa namna nyingine ya kuipata fomu hii au njia rahis ya kukipata chet hiki anisaidie tafadhal.Natanguluza shukran zang