NEC KWANINI WASIZI-UPGRADE HIZO SERVER ZAO ZA RECRUITMENT YAO ? MAY BE KUTKA 15 TB may be hadi 100 TB .

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,129
ushauri tu maana TZ inaingia kweny matumizi makubw ya kimtandao,sasa hii ya ERROR MESSAGE: YOUR MESSAGE wAS REJECTED , REASON ( mailbox server is full ) dah inatatiza weng , japo tulituma 1day after tngazo kutka .. so ushauri kwann NEC msizi upgrade hzo
 
Tz huduma za kimtandao bado ziko chini Sana hususan jatika masuala yanayohusisha watu wengi. Inaposumbua ni kufosi tu rudia mara nyingi inavyowezekana.
 
Hivi bado unahangaika na kuresend hujaona tangazo kuwa wamesitisha,walitaka waone response yenu ingekuwaje
 
ushauri tu maana TZ inaingia kweny matumizi makubw ya kimtandao,sasa hii ya ERROR MESSAGE: YOUR MESSAGE wAS REJECTED , REASON ( mailbox server is full ) dah inatatiza weng , japo tulituma 1day after tngazo kutka .. so ushauri kwann NEC msizi upgrade hzo
wamesitisha ajira mpaka pale watakapotangaza tena
 
Back
Top Bottom