Amiri Kadau
Member
- Jan 27, 2014
- 5
- 2
Chadema , sio sawa na CUF kuwa Lipumba na. Mtatiro.......Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.
haisadii maana chopa zipoTume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.
Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa viongozo waandamizi wakuu wa Chadema watakuwa ndani ya bunge la katiba.