NDUMBA IMELIPA DADEKI ZAKE.

Anekuroga anaekupeleka jela anafaa kuuwawa.

Mzee huna moyo wa kiume.
 
Muandiko wenyewe wa hovyo namna hyo lazima mwanamke akupige chini
 
Mkuu kwa haraka maneno uliyoandika wewe kama sio mkisi wa ngerenge basi mmanda
 
Kwa Hali niliyokua nayo haikuwa na namna. Ilikua aidha nijidhulu au niende jela. Nimeandika nikiwa safarini nimefupisha mno, mambo nimengi sana. Alifikia mpaka kumwambia bwana wake anigukuze kazi wabaki huru. Hakujali kazi yangu nategemewa. We acha tu, Hawa viumbe sio
 
Tuma na namba na location
 
Matangazo ya hizi ni ya zamani sana alafu wengi wenu ni matapeli tu .
 
Kama ni stori ya kweli umemkosea Mungu wako parefu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…