A_Girl_Child
Member
- Jul 25, 2022
- 39
- 77
Habari ya muda huu wakuu,
Niko mbele yenu muda huu kuomba msaada wa kupata kazi yoyote halali.
Nina shahada ya uuguzi( BSc Nursing) nina uzoefu wa kufanya kazi wodini na kwenye miradi hivyo mwenye connection na kazi yoyote ya taaluma yangu au isiyo ya taaluma yangu namuomba sana anisaidie. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
Kuhusu kutafta kazi nimetafuta na bado naendelea kutafuta sehemu mbali mbali ila bado sijafanikiwa.
Nisaidieni nakaribia kudhalilika sasa Dah

Asanteni.