Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Yap mademu wanagundu sana. Hata wasanii wanatafuta kiki kipumbavu mwishowe wanaanza kukosa makampuni yakuwatumia. Mfano konde boy alipohama WCB alianza kupata matangazo mengi, mdamfupi akavimba na kuanza kutembea na malaya wa mjini mtokeo yake makampuni hayaongezi mkataba nae. Mbunye ni shida mzee
Kwa hiyo Kajala na mwanaye wanagundu ndiyo maana hapati ubalozi tena?
 
Hasheem ni agemate was Stephen curry ushawahi muona curry aki flop au ushamuona James harden akiflop

Huo umri alio nao ndio umri yaani unakuwa guru kweli kweli kweye basketball

So unawacheki Alina Steph ,LeBron walivyo watabe kwenye game.

Huyo mzee hasheem niseme tu alipata bahati kucheza NBA sababu ya urefu wake but hakuwa na talent kabisa ya basketball kule NBA wanaitwa BUST nadhani yeye ni biggest bust of all timemaana alikuwa drafted namba 2 just imagine namba 2 yaani akitoka namba 1 ambaye ni Blake Griffin anafuatie yeye halafu James Harden ,Steph curry alikuwa namba 7 huko .

Jamaa kafanya NBA siku hizi wasiwe na mzuka na big men ukishakiwa na 7.2 footer hufai kwenhe ile game

Siku hizi hata 6.0 wanachukuliwa coz unakuta Wana skillz nyingi kuliko big men

6.0 anaweza dribble,pass,shooting ,defend, playmaking wakati big men Kama hasheem wataishia kuwa blockers

Hashema bhana .
ila dogo mademu wamemlostisha sana....manake ulimbukeni ulimuingia na kumtoa kwenye Reli
 
Mara ya mwisho nilisoma kuwa alikuwa Taiwan kama mchezaji wa kulipwa. Analipwa kuliko CEO wa shirika lolote la Tanzania.
 
Yap mademu wanagundu sana. Hata wasanii wanatafuta kiki kipumbavu mwishowe wanaanza kukosa makampuni yakuwatumia. Mfano konde boy alipohama WCB alianza kupata matangazo mengi, mdamfupi akavimba na kuanza kutembea na malaya wa mjini mtokeo yake makampuni hayaongezi mkataba nae. Mbunye ni shida mzee
Umeongea ukweli mtupu
 
Mademu wa gundu aisee. Nilikua nakamua demu fulani mashine mbovu Ila nikawa najikausha tu basi nikawa nawaza kutiana tu. Baada ya kummwaga aisee deals kama zote
 
Ok thanks 👏, hivi ile safari ulishafanya? Pm. Yangu haifanyi kazi sijui kwanini
Pole,siyo PM yako tu,hata yangu na za baadhi ya wadau.Sijui mods hawalioni hili tatizo...?
Anyway,labda wanajua na wanajitahidi kulitatua hilo tatizo.
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Hili neno limekuwa likinitatiza miaka ya karibuni juu ya namna linavyotumika sasa na maana halisi tuliyofunzwa mashuleni. Kwa maana hiyo basi ningelipenda mtu yeyote yule atowe tafsiri sahihi ya neno Mzalendo na ni nani mzalendo? Shukran.
 
Tz wale waliyokuwa na vipaji haswa
Na walienda marekani hawakupata nafasi....huko yeye utolu ulimsaidia
Sema ndiyo hivyo,any way Acha arudi kucheza nyumbani

Ova

Kati ya watu walionisikitisha ni TOLU "SABITI" ,Jamaa amechezea shilingi chooni.....Tumekosa fedha zake kwenye mzunguko huko TZ ,Mabilioni yake angekuwa anayatuma TZ yangetoa ajira kwa vijana.
 
Back
Top Bottom