Ndugu yangu Kassimu Majaliwa hukujua samaki huyu hana shombo,unanikataza nisimle?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Ninaenda moja kwa moja kwenye hoja!

Mh Kassimu hivi kweli hukujua kama kweli huyu samaki hana shombo mpaka unikataze nisimle? hiki ni kichwa cha habar ambacho zao lake ni katazo la Mh kasimu akiwazuia mawaziri wasifanye ziara mikoani badala yake wbakie kuzuia corona

Hivi kweli mawaziri hawa wanauzika kiasi cha kusema wakifanya ziara huko mikoani wananchi wanakusanyika kuwasilikiliza?

Ili linawezekana kutowafata nadhani tulitakiwa yuangalie mvuto wa wtu hawa wakienda mikoani wanauzika kwa rehema u wananchi wanawafata kuwaeleza matatzo? ni waziri gani aliwai kufatwa kupongezwa?

Kwa kuwa Rais amesema tuchape kazi basi na mawazir wachape kazi tyuuuuu.

Nimejiwa na wasiwasi kuna majukumu hayatotimizwa halafu ikifika uchaguzi tutaambiwa kuwa majukumu fulani hayajatimizwa so uchguzi unailishwa asee!

mie ni Sifileo kesho ikifika nipo tayari kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom