Ndugu yangu anaomba kazi

Ndugu yangu anaomba kazi

unique vee

Senior Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
128
Reaction score
176
Habar wana jukwaa nimekuja katika jukwaa hili kwa mara ya pili nina ndugu yangu ni msichana wa miaka 23 elimu yake ni kidato cha nne pia kasomea ualimu wa chekechea na hotel management anaishi dar temeke anaomba kazi yoyote ile kuuza duka ,kufundisha chekechea au hata hotelin au yyte ile ila kazi za ndani hawezi
 
Kama ana uzoefu wa kuuza vinywaji vikali (vilevi) na ana ujuzi wa kuendesha gari (awe na leseni) tuwailiane.
 
Huyo hatatufaa. Mtu anayehitajika anatakiwa awe na sales skills (preferably za vinywaji vikali) ambaye atakabidhiwa gari na kwenda kufanya mauzo mwenyewe kwa wateja.
 
Ingia kwenye WWW.ajirazetu.com niliona kuna tangazo hotel ya Lavista Garden ipo Moro, eneo la Turiani wametangaza nafasi za kazi weitress, na supervisor kama amekidhi vigezo vyao atupie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom