wa se nge clouds wanaleta siasa kwenye msiba ambao hata wasipenda siasa wamaunganaClouds FM si walisema wapo tayari kuisaidia serikali kupunguza gharama za usafiri katika bajeti?
Hawa ni Shilawadu tu kazi yao ni kukaanga ubuyu na kuwaachia wengine wautafune.Clouds FM si walisema wapo tayari kuisaidia serikali kupunguza gharama za usafiri katika bajeti?
Vxkwani watu si wajilipie jamani hayo magari mawili ni coaster au gari ndogo
Wao watatoa ma MC na " waandazi"Clouds FM si walisema wapo tayari kuisaidia serikali kupunguza gharama za usafiri katika bajeti?
WACHAGA SIO WATUDar es Salaam. Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.
Akizungumza na MCL Digital leo Februari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yalitotolewa na Serikali kujaa.
Wengi wao wametumia fursa kwenda kusalimia tu kwa kua wamesikia kuna usafiri wa bure.Hao wanaotaka kwenda wajilipie nauli....
Usifike huko Ndugu mpendwa,ni kubaya saana.WACHAGA SIO WATU
Mungu akusamehe tuSERIKALI INGEKODI MELI ILI KUBEBA WAOMBOLEZAJI WENGI ZAIDI....