Aminhussein Member Joined Sep 1, 2017 Posts 10 Reaction score 3 Oct 17, 2017 #1 Nmesomea degree ya ualimu biology and chemistry natafuta kazi kwa mkoa wa Dar
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,743 Oct 17, 2017 #2 Sambaza CV yako kwenye shule mbalimbali utapata...ila humu jf utaambulia kejeli ,..Mara oooh kajiajir,pambana na hali yako,kalime ,,baadhi yao sio wastarabu ...ngoja wanakujaa
Sambaza CV yako kwenye shule mbalimbali utapata...ila humu jf utaambulia kejeli ,..Mara oooh kajiajir,pambana na hali yako,kalime ,,baadhi yao sio wastarabu ...ngoja wanakujaa
E Eras arid Member Joined Oct 17, 2017 Posts 26 Reaction score 13 Oct 20, 2017 #3 Hadi Biology na Chemistry imekua tabu, nipm nikupe mwongozo
Ryan The King JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 2,789 Reaction score 2,705 Oct 20, 2017 #4 Sambaza CV kwenye shule kubwa. January utaitwa. Kwa sasa ni mwisho wa mwaka si rahisi kuajiriwa
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,324 Reaction score 3,709 Oct 20, 2017 #5 Utapata mkuu Mungu yu pamoja nawe