Ndugu natafuta kazi

Ndugu natafuta kazi

Aminhussein

Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
10
Reaction score
3
Nmesomea degree ya ualimu biology and chemistry natafuta kazi kwa mkoa wa Dar
 
Sambaza CV yako kwenye shule mbalimbali utapata...ila humu jf utaambulia kejeli ,..Mara oooh kajiajir,pambana na hali yako,kalime ,,baadhi yao sio wastarabu ...ngoja wanakujaa
 
Sambaza CV kwenye shule kubwa. January utaitwa. Kwa sasa ni mwisho wa mwaka si rahisi kuajiriwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom