Ndoto?

Ndoto?

ma PRO so

Senior Member
Joined
Nov 17, 2025
Posts
110
Reaction score
143
Ndoto hii nilishaielezea mara kadhaa katika mitandao ya kijamii Ili nipate mawazo kwa wenye uzoefu,ila niseme sijawahi kuilewa kama niielewavyo sasa maana sasa ni kama narudia mo ie flani ya kutisha.
Nilianza kuiota mara baada ya Magufuli kufariki na nlikuwa naiota almost every day,same dream.

Naota niko sehem ndani ya nchi hii wananchi wanakimbia huku na kule kuwaepuka watu (ni waite wanajeshi japo sijui ni jeshi Gani) maana walikuwa wamevaa kininja na kufunika nyuso zao ,jezi zao nyeusi kama SWAT wa marekani na wako full mkoko,na for some reason for the first wave nilijua Hawa sio wanajeshi kutoka nchini mwetu (sijui kwann ila mpaka sasa najiuliza nlijuaje ni kutoka nje wakati walikuwa wamevaa kininja (mpaka sasa sijui)

Ila walitesa watu sana na kuwauwa hovyo hovyo na kusababisha hofu kuu.

Katika ndoto hii iliyojirudia ilionyesha mawimbi matatu makubwa,la pili na la tatu likiwa kubwa kuliko la kwanza na ndoto hii ilinitesa sana.

Katika ndoto hii watoto na wanawake walipata shida kuu

Kwa upande wangu wakati naota ndoto hii niseme ni kipindi kigumu mno kwangu maana ndoa na kazi nlishapoteza wakati wa utawala wa Jiwe so nilijua ndoto zile ni kutokana na stress zihusuzo maisha yangu (pia niliambiwa hivyo na mchungaji mmoja nliyeenda kuomba usharudi juu ya ndoto hii)

fast forward to Oct 29 mwaka 2025 usiku wa kuamkia Oct 30 nikaota the same vividly dream na yaliyotokea ndiyo yaliyotokea.

WIki baada ya internet kuachiwa nikashawishika kuingia JF niangalie hizo picha ambazo naskia zinatisha,na kweli zinatisha ila kuna jambo likaniambia haya ulishaambiwa yatatokea sasa unashangaa nini?

NIkaona na wengine humu JF wakielezea ndoto zao walizoota kipindi Cha nyuma,wengine wakielezea yanayoenda kutokea soon!!Huku wakijitokeza wengine wakibeza au wakisema ni ndoto za kuunganisha matukio,may be ni sahihi au maybe Mungu anataka kuwapa taarifa wenye haki wake kwa mambo ambayo hayana budi kutokea.

Kuhusu kutokea ...Mungu anasema halina BUDI.

kama kuombea,OMBEA watu wenye haki Ili Mungu akawatunze maana watahitajika wakaliinue Tena taifa.

Nimebishana sana na sauti ndani mwangu ambayo naamini ni Mungu Kuwa sioni sababu ya kutoa bandiko hili maana kama wakiona watasema ni ndoto za bangi pia JF ni jukwaa dogo ila Mungu kaniambia litamfikia tu hata mmoja wa watu wake aliye na haki.

MUNGU WETU ATUSIMAMIE
 
Lamri chonganishi hizi, anyway nafikiri mwisho wa yote haya ni kifo cha mbogamboga.
 
Kwa hakika mimi niliota kifo cha Jiwe siku chache kabla hajafa. Niliota ameuwawa kwa risasi.
Nchi ikaingia kwenye machafuko.
Helicopters zinazunguka kila sehumu, muda wote, mabomu na risasi vinarindima.
Watu wanateseka sana.
Nikapuuzia na sikuisema hapa kwa kuogopa kutekwa kipindi cha Jiwe au kushitakiwa kwamba ndoto za kawaida au ramli chonganishi.
Naendelea kuamini ilikuwa ndogo ya kawaida tu.
 
Ndoto hii nilishaielezea mara kadhaa katika mitandao ya kijamii Ili nipate mawazo kwa wenye uzoefu,ila niseme sijawahi kuilewa kama niielewavyo sasa maana sasa ni kama narudia mo ie flani ya kutisha.
Nilianza kuiota mara baada ya Magufuli kufariki na nlikuwa naiota almost every day,same dream.

Naota niko sehem ndani ya nchi hii wananchi wanakimbia huku na kule kuwaepuka watu (ni waite wanajeshi japo sijui ni jeshi Gani) maana walikuwa wamevaa kininja na kufunika nyuso zao ,jezi zao nyeusi kama SWAT wa marekani na wako full mkoko,na for some reason for the first wave nilijua Hawa sio wanajeshi kutoka nchini mwetu (sijui kwann ila mpaka sasa najiuliza nlijuaje ni kutoka nje wakati walikuwa wamevaa kininja (mpaka sasa sijui)

Ila walitesa watu sana na kuwauwa hovyo hovyo na kusababisha hofu kuu.

Katika ndoto hii iliyojirudia ilionyesha mawimbi matatu makubwa,la pili na la tatu likiwa kubwa kuliko la kwanza na ndoto hii ilinitesa sana.

Katika ndoto hii watoto na wanawake walipata shida kuu

Kwa upande wangu wakati naota ndoto hii niseme ni kipindi kigumu mno kwangu maana ndoa na kazi nlishapoteza wakati wa utawala wa Jiwe so nilijua ndoto zile ni kutokana na stress zihusuzo maisha yangu (pia niliambiwa hivyo na mchungaji mmoja nliyeenda kuomba usharudi juu ya ndoto hii)

fast forward to Oct 29 mwaka 2025 usiku wa kuamkia Oct 30 nikaota the same vividly dream na yaliyotokea ndiyo yaliyotokea.

WIki baada ya internet kuachiwa nikashawishika kuingia JF niangalie hizo picha ambazo naskia zinatisha,na kweli zinatisha ila kuna jambo likaniambia haya ulishaambiwa yatatokea sasa unashangaa nini?

NIkaona na wengine humu JF wakielezea ndoto zao walizoota kipindi Cha nyuma,wengine wakielezea yanayoenda kutokea soon!!Huku wakijitokeza wengine wakibeza au wakisema ni ndoto za kuunganisha matukio,may be ni sahihi au maybe Mungu anataka kuwapa taarifa wenye haki wake kwa mambo ambayo hayana budi kutokea.

Kuhusu kutokea ...Mungu anasema halina BUDI.

kama kuombea,OMBEA watu wenye haki Ili Mungu akawatunze maana watahitajika wakaliinue Tena taifa.

Nimebishana sana na sauti ndani mwangu ambayo naamini ni Mungu Kuwa sioni sababu ya kutoa bandiko hili maana kama wakiona watasema ni ndoto za bangi pia JF ni jukwaa dogo ila Mungu kaniambia litamfikia tu hata mmoja wa watu wake aliye na haki.

MUNGU WETU ATUSIMAMIE
TumainiEl is that you? 😊
 
Acha uganga wa kienyeji, utapeli na ushehe wewe
 
Ndoto yangu si nzuri maana.

Hii ni baada ya Oct 29.Niliota kimewaka sana na mimi na rai wengine tukaingia katika duka la vitu expensive tukaanza kujisevia.
Dah!
 
Je haukuonyeshwa kwamba tufanye nini ili tuepukane na hayo? Kama haukuonyeshwa you need to go back and ask for directions/ guidance on how to go about it.
Mungu anapoleta jumbe kama hizi huwa anatoa na maelekezo ya jinsi ya kuepuka.
 
Niliota kuhusu machafuko ya uchaguzi mwezi wa nane mwaka huu.Na nilitaka niandike uzi kuhusu nilivyoota ila nikaacha maana sijawahi anzisha uzi humu.Ila kuna mtu alileta uzi humu kuhusu ndoto aliyoota na mimi nikaandika na ndoto niliyoota watu wakatubeza.

Niliota nipo sehemu chumba kikubwa na watu ninaowafahamu tumekaa.Nilikuwa natafuta jibu la kitabu nilichokuwa nacho mmoja wa watu aliniambia jibu unalolitafuta lipo kwenye mtaala mpya na sio wazamani angalia kwenye box ukutani nikaangalia kweli nikapata jibu.Baada ya hapo nilitoka nje kutembea niliona msikiti kuna waislamu walikuwa nje wanaswali alikuja mwanamke wa kiislamu alikuwa kavaa kiislamu ila kwa namna isiyo yastaha,aliwapa mafungu ya pesa wale waislamu wakaacha kuswali wakaondoka msikitini wakifurahi wamepewa pesa na huyu mwanamke.Kwenye ndoto nilichukia kwa nini hawa watu wameacha kuswali na kuondoka baada ya kupewa mafungu ya pesa?Nikawa narudi kule nilikotoka njiani hali ilikuwa imebadilika kulikuwa na ulinzi mkali sana polisi walikuwa wamejaa barabarani ingawa kwa shida niliweza kurudi kwenye lile jengo napo kulikuwa na polisi ila kabla sijaingia mmoja wa watu ninaowafahamu aliuawa na polisi.Nililia sana niliingia ndani ya kile chumba nikiwa nalia nikawaambia fulani ameuawa na polisi hii nchi imekuwa Kama jehanam.Niliamka macho yalikuwa na machozi na nikapata ufunuo ndani ya nafsi yangu uchaguzi huu damu itamwagika.Nilimwambia mama pamoja na mtu mmoja wa karibu huu uchaguzi tuombe sana damu itamwagika
 
Mie huwa naota hayo kila siku hata mchana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom