scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,734
Jaman wataalam wa ndoto naomben nitafsirie jana bhana baada ya miangaiko yangu nmerud nyumban nmelala sasa usku wa manane skumbuk ilikuwa kama sa ngap maana nilkuwa na usingiz sana niliota et nmejifungua mtoto wa kike nilfurah sana nkampa na jina moja nshaliandaa na mengine ya kunyonyesha yakafatia sasa badae nkastuka usingizn nkaenda kojoa nkarud kulala usingiz n umenikamata sana sasa hyo ndoto ilirud ileile duh mpaka nkaanza kuwaza Au nmepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatfu maana kwanza nakaa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nope! Haihusian na majin labda ngekuwa mafanya mapenz afu jini kwangu hasogei walaJini mahaba hawa wanaharibu sana dada zetu, olewa laasivyo utanufaisha majini badala ya kunufaisha binadam mwenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana so kila ndoto ina matatzo m nasubir wanaotafsirDuuh!!unamatatizo aisee
Habari,Jaman wataalam wa ndoto naomben nitafsirie jana bhana baada ya miangaiko yangu nmerud nyumban nmelala sasa usku wa manane skumbuk ilikuwa kama sa ngap maana nilkuwa na usingiz sana niliota et nmejifungua mtoto wa kike nilfurah sana nkampa na jina moja nshaliandaa na mengine ya kunyonyesha yakafatia sasa badae nkastuka usingizn nkaenda kojoa nkarud kulala usingiz n umenikamata sana sasa hyo ndoto ilirud ileile duh mpaka nkaanza kuwaza Au nmepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatfu maana kwanza nakaa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
My dear, usifurahie ndoto kuwa utabeba ujauzito...
Ni sawa ukifundisha kuwa pia ndoto huletwa na Mungu.Hiyo ndoto maana yake utafanikiwa, yaani kushika mimba ni sawa na kuandaa jambo mfano biashara au mipango yoyote ile ya kimaendeleo, na kuzaa ndiyo kupata au kufanikiwa katika yale uliyoyaandaa, hivyo basi inaweza kuwa kazi biashara ,au mipango yako ikazaa matunda yaani mafanikio tarajiwa.
Hivyo basi kushika mimba na kuzaa kiroho kuna kuna maana yake . Tena zaidi sana ndoto ikijirudia zaidi ya mara moja , maana yake inaweka msisitizo kuwa lazima lazima litimie.
Habakuki 2:2-3
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaangalie ile kondom mliyotumia jana, nahisi ilikuwa na tundu, upate mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu mikenyenge ina kazi gani? ila kama upo dar hilo linawezekana kabisa ila sio mkoani.Au nmepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatfu maana kwanza nakaa mwenyewe
Mi naotaga nafikirigi ni kiu yangu tu ya kupata mtotoHiyo ndoto maana yake utafanikiwa, yaani kushika mimba ni sawa na kuandaa jambo mfano biashara au mipango yoyote ile ya kimaendeleo, na kuzaa ndiyo kupata au kufanikiwa katika yale uliyoyaandaa, hivyo basi inaweza kuwa kazi biashara ,au mipango yako ikazaa matunda yaani mafanikio tarajiwa.
Hivyo basi kushika mimba na kuzaa kiroho kuna kuna maana yake . Tena zaidi sana ndoto ikijirudia zaidi ya mara moja , maana yake inaweka msisitizo kuwa lazima lazima litimie.
Habakuki 2:2-3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naotaga nafikirigi ni kiu yangu tu ya kupata mtoto