Ndoto zangu

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
675
Heshima kwenu wakubwa
Nimekaa na hii long weekend naboreka ebu niwashirikishe kuhusu huyu mwanaume
Natamani sana nije niwe na mwanaume flan mkimya, akisema no anamanisha, mwenye msimamo anayependa kununa sometimes.
Nahisi nitaenjoy nikisema mpole namaanisha mwanaume anayefikiria kabla hajakujibu.

Toka nimekuwa nimedate na mwanaume almost 3 na kila mmoja na sifa yake,,lakini yupo mmoja ninaye ndoto yake bado sijamuona

Venye aliwahi kuwa na mtu kama huyu tupeane uzoefu.
 
Aki umenishinda tabia. Yule msee uliyetushow last time ame go where! MP.
 
Tafuta utapata wala uschoke
Kuonja n free madam
 
vuta subra maana huwa hawatafutwi huja automatic muda ukifika,na ili umpate unayemtaka lazima upitie kwa wale usio wataka
 
Ona mii nikushow kitu
Unampea then unakuwa unapata doo za allowance. Msuupuuu ma MP ni wanono
Ati kumpea mgegedo shega. Ila moyo hauko na ushirikiano
 
Siku ukimpata hiyo 3 itageuka 60. Halafu hatoweza kudumu na wewe, maana K itakuwa imechakaa sana!
 
mm npo hivo
 
njoo kwangu niko na hiyo tabia na sifa zote unazotaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…