Sababu wanawake wa kuoa hawapo.....unakuta mwanamke muda wote yuko kwenye mitandao ya kijamii mara facebook, mara instagram anauza sura huko kweli utaoa mwanamke kama huyo? Mwanamke yoyote alieko kwenye mitandao ya kijamii hafai kuoa...
Kusingekuwa na wanawake mitandaoni mngefungua?Sababu wanawake wa kuoa hawapo.....unakuta mwanamke muda wote yuko kwenye mitandao ya kijamii mara facebook, mara instagram anauza sura huko kweli utaoa mwanamke kama huyo? Mwanamke yoyote alieko kwenye mitandao ya kijamii hafai kuoa...